Monday, June 25, 2012

VODACOM WAJANJA MUSIC TOUR ILIVYOWAKAMUA VIJANA WA MJI KASOLO BAHARI NYOMI YA KUFA MTU.

 Umati wa watu waliohudhuria katika uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro kushuhudia wasanii mahiri waliokuwa wakitumbuiza katika onyesho la Vodacom Music Tour .

 Msanii Kipenzi cha watoto, wasichana na vijana Dimond akionyesha umahiri wake jukwaani mjini Morogoro katika Tamasha la Vodacom Music Tour.
 Vijana hawakukubali hadi kilielewaka .
 Fidiq akikamua katika onyesho hilo la Wajanja wa Vodacom ambalo limekuwa gumzo kwa vijana wa kisasa,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay Wamitego alivyowatega na kuwanasa mashabiki ambao ni wajanja wa vodacom katika shoo iliyofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Wajanja hao wanaema haijawahio kutokea nyomi ya watu kama hii.

No comments:

Post a Comment