Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi aliowakaribisha katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi leo Julai 30, 2012.
Baadhi ya wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kufulu iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete wakipakua futari
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru waalikwa kwa kuhudhuria katika hafla ya futari aliyoandaa
No comments:
Post a Comment