Monday, July 30, 2012

WANAFUNZI WA KARNE YA 21. HAPA NCHINI TANZANIA.


YEBOYEMBONDIO ZETU HUKU BADO TUPO KARNE YA 20; Wanafunzi wa shule ya msingi   Lupondo kata ya Mkamba  katika Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,  wakiwa katika mapumziko shuleni kwao,, wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya mlipuko kutokana na ukosa wa maji kutokana na mabadiliko ya tabia nchi iliyosababisha bwawa kubwa la Lupondo  kukauka ambalo lilikuwa tegemezi kwao miaka ya 1986 hadi miaka ya 1999 lilikuwa likipatikana viboko na samaki aina malimbali ,wamekuwa wakishindwa kuhudhuria masomo  kutokana na kujikita katika sakata la utafutaji maji.
 Wakazi wa kijiji cha Lupondo kata ya Mkamba  katika Wilaya ya Mkiuranga mkoa wa Pwani, Amisa Omari akivuna mpunga katika bonde la Lupondo ambalo miaka ya 1986 hadi miaka ya 1999 lilikuwa likipatikana viboko na samaki aina malimbali  hivi sasa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi limekauka  kutokana na uhalibifu wa vyanzo vya utunzaji wa maji na mazingira, wakazi wa eneo hilo huamka  asubuhi kwenda  kutafuta maji umbali wa masaa Manne, kwenda kutafuta maji.
 Bidhaa za wamachinga zikiwa zimepangwa juu ya leri eneo la Kwa mnyamani Vigunguti jijini Dar es Salaam.
Wapiganaji wakiwa katika harakati za kutafuta picha nzuri huku askari wa usalama wa taifa akiwa amewasimamia vilivyo hapa ilikuwa siku ya sherehe ya Mashujaa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment