Tuesday, August 7, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILA AMUWAKILISHA RAIS KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment