Askari wa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, wakimvuta kinyama mmoja wa vijana waliodhaniwa kuleta fujo wakati wa vurugu za kugombea nyumba eneo la Kariakoo, mtaa wa Kongo na Mchikichi jijini kufuatia mgogoro wa kugombea nyumba namba 86 inayomilikiwa na Samiri Said
Duuuu, Kama vitani jamani kumbe ni ugomvi wa nyumba ,askari wakitumia nguvu nyingi sana,
Mpiga picha wa The Guardian Typhod Mweji akipita mbele ya askari aliyebeba siraha kubwa .
Wananchi wakipita katika mtaa wa Kongo janan kabla ya vurugu za kugombea nyumba.
No comments:
Post a Comment