Thursday, August 23, 2012

TUYAKUMBUKE YA NYUMA YALIYOVUMA NA KUPITA KWA SHANGWE.

 Picha hii ilitawala katika vichwa vya Habari katika magazeti mbalimbali yakiwemo ya Changamoto na Nipashe.hapo pichani ni aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Polisi Nchini Abdalah Zombe, akiwalushia mateke waandishi wa habari waliokuwa katika harakati za kumpiga picha baada ya kuachiliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania wakati aliposhinda kesi ya Mauaji.
 Baadhi ya Vijana wanaojihusiha nna ubaraji wa sanaki wakiwa na madumu ya mafuta ya petroli baada ya kuyachuja katika ufukwe wa bahari ya hindi,
 Kufa Kufaana, je unakumbuka sakata hili la mafuta yaliyozagaa katika bahari ya hindi siku za nyuma?
Jamaa akichuja mafuta ya petroli  kutoka katika maji ya bahari ya hindi hapa ni eneo la Kivukoni jijini Dar es Salaam,

No comments:

Post a Comment