Saturday, August 18, 2012

BENKI YA KCB TANZANIA YASHEREHKEA SIKUKUU YA IDD KWA KUWAPA MSAADA WAVYAKULA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Mjumbe wa Bodi wa benki ya KCB Tanzania, Zuhura Maro akiwakabidhi msaada wa mbuzi watoto wa kituo cha yatima cha  Al-Madina Children Home kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam, kwa ajiri ya sikukuu ya Idd, kushoto ni Mkurugenzi wa benki hiyo Nikubuka Shimwela,Mlezi wa kituo hicho Kuruthumu Yusuph na Mkuu wa Masoko na Mahusiano Christina Manyenye wakishuhudia msaada huo. Msaada huo umevijumuishavituo 6 vya jjjini Dar es Salaam,kwa kuwapa mbuzi wawili wawili kila kituo.
.Meneja wa benki ya KCB Tanzania tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam, Clement Mwanzalima,akimkabidhi Mlezi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Hissani cha Mbagara jijini Dar es Salaam,Idaya Shukrani msaada wa boksi ya sabuni ulioambatana na vyakula mbalimbali kwa ajiri ya watoto kusherehekea sikukuu ya Idd.

No comments:

Post a Comment