Wanakijiji cha Kiyegoya kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ambao ni jamii ya Wamasai wakiwa katika picha ya Pamoja wakati Mtandao wa PWANIRAHA2NEWS BLOG SPOT.COM ulipotembelea eneo lakijji hicho kwenda kujionea shughuli za ufugaji zinavyofanywa.
Mwanafunzi wa darasa la Tatu katika shule ya Ujirani iliyopo katika kijiji cha KiegelaB Morogoro wakiselebuku Taarabu kwa raha zao ,hapa huwezi amini kama wanafunzi hawa ni wamasai.
Mmoja wa wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Ujirani akiwana mama yake wakiwa wamekalia madawati mapya baada ya kusaidiwa msaada nabenki ya KCB Tanzania.
Afisa Masoko wa Benki ya KCB Tanzania tawi la Morogoro Herieth Mwakifulefule akiwa na wanafunzi wa shule hiyo .
Hapa anamsaidia mtoto Kulwa Mussa Mwenye umri wa miaka 12 anayesoma darasa la tatu ambaye tangu darasa la kwanza amekuwa akiwamwanfunzi wa kwanza katika darsa lao, hata hivyo pacha wake alifariki mtoto huyo ni mmasai.
Mama akimnywesha maziwa mwane kwa kutumia chupa ya asili ,mtoto na mama wote wanaafya nzuri sana ,
No comments:
Post a Comment