Friday, August 17, 2012

BENKI YA BIASHARA YA KBC TANZANIA WATOA MSADA WA MADAWATI KWA SHULE YA JAMII YA KIMASAI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 4.8.



 Meneja wa KCB Tawi la Morogoro Carlos Msigwa akisalimiana na mmoja wa wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya  Ujarani iliyopo katika kijiji cha Kiyegeya B katika kata ya Mkundi iliyopo Manispaa ya Morogoro bi Herena Jaruo baada ya kukabidhi msaada wa madawati 80 yenye thamani ya shilinigi Milioni 4.8 kwa shule hiyo yenye wanafunzi wa jamii ya kimasai shule hiyo ilianzishwa mwaka 2004 lakini walimu wanaopangiwa katika shule hiyo wamekuwa wakiikimbia kutokana na ukosekanaji wa huduma za kijamii, ikiwemo nyumba, sehemu ya kupata mahitaji ya msingi,
Pia shule hiyo tangu ianzishwe wanafunzi hawajawahi kukalia dawati hata mala moja wamekuwa wakikaa chini siko zote.

No comments:

Post a Comment