Friday, August 17, 2012

KATIBU WA HALIMASHAURI YATAIFA YA CCM NA ITIKATI NA UENEZI NAPE MNAUYA AFUTULISHA MOROGORO.

   Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Six Mapunda na Kada wa CCM na Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Morogoro jioni hii ya leo Agosti 17, 2012.




 Waalikwa wakisali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.PICHA NA BASHIRI NKOROMO.

No comments:

Post a Comment