Wednesday, August 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURIASH​A WANANCHI WA KISIWA CHA PEMBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, katika Futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao kwa pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012. Picha na OMR
 Wake wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal (katikati) Mama Asha Bilal (wa pili kulia) wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa naMakamuwaRais iliyofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012.

No comments:

Post a Comment