Utalii wa ndani ,Albart Jacksoni akiwa katika boti akitokea Zanzibar,
Hapa ni banfarini unguja Zanzibar, Leo wasafiri kutoka Dar kwenda huko Znz wamekwama kutokana na ukosefu wa vibari vya makazi,
MAPACHA WAWILI ;Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Wazazi ya Mwembe ladu Zawadi Suleman akimsaidia mmoja wa wazazi aliyejifungua mapacha katika hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment