Tuesday, August 28, 2012

MAMBO YA KARIAKOO.

 Mmoja wa wasichana akinunua heleni ,Bangili na  Pete katika Makutano ya Mtaa wa Kongo na Shule ya Uhuru jijini Dar es Salaam, Pamoja na kuwepo kwa Mgambo wa Manispaa ya Ilala sehemu hiyo imekuwa na msongamano kiasi cha akina dada kuibiwa vitu vyoa kila siku.
Hapa ni Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment