Mkuu wa Kitengo cha Mauzo
na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki
ya KCB Tanzania ,Christina Manyeye, akimjulia
hali mmoja wa watoto wenye umri wa siku
moja waliozaliwa katika wodi ya wazazi ya Amana jijini Dar es Salaam, wakati
alipotembelea waodi hiyo, baada ya kutoa msaada wa Mashuka 116 na Mashine ya
joto ya kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati wake ( Baby Warmer Mashine) Vitanda Vitano vya kujifungulia
akina mama wajawazito vvyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 15.640.000.Vilivyotolewa
na Benki ya KCB Tanzania.
MALEZI MEMA JAMANI.

Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki ya KCB Christina Manyeye akimkabidhi Mganga
msaidizi wa Hospitali ya Amana DK.Shaany
Mwaruka msaada wa Kitanda cha kusaidia
wajawazito kujifunguria (Delivery beds)
wkati wa hafla iliyofanyika katika Hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.Jumla
ya Vitanda Vitano na Mashine moja ya
kutunzia watoto ambao wanezaliwa kabla ya muda wake vyote vikiwa na Thamani ya shilingi milioni
15,5. Vilitolewa na benki ya KCB.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala
Asha Mahita, kulia ni Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo na Matroni wa
Hospitali ya Amana Sr.Agnes Mwega.
Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki ya KCB Christina Manyeye,wapilia
kutoka kushoto akiwaonyesha Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo ,Mganga
msaidizi wa Hospitali ya Amana Mashine ya joto ya kutunzia watoto wanaozaliwa
kabla ya muda wao baada ya kuwakabidhi msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 7.4.kushoto
ni Meneja Mauzo wa benki ya KCB Tanzania Clara Sannda.
Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki ya KCB Christina Manyeye,
akimkakabidhi Mganga msaidizi wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam. DR.Shaany Mwaruka msaada wa,Mashuka 116 na
Mashine ya joto ya kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati wake ( Baby Warmer Mashine) Vitanda Vitano vya kujifungulia
akina mama wajawazito vvyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 15.640.000.Vilivyotolewa
na Benki ya KCB Tanzania.kulian ni Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungu
akishuhudia msaada huo.
MUITUNZE VIZURI JAMANI TUMELEWANAA;
Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki ya KCB Christina Manyeye,wapilia
kutoka kushoto akiwaonyesha Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo ,Mganga
msaidizi wa Hospitali ya Amana Mashine ya joto ya kutunzia watoto wanaozaliwa
kabla ya muda wao baada ya kuwakabidhi msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 7.4.kushoto
ni Meneja Mauzo wa benki ya KCB Tanzania Clara Sannda.
No comments:
Post a Comment