KIKWETE APOKEA MACHAPISHO MBALIMBALI YA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea nakala ya machapisho mbalimbali ya Bunge la Afrika Mashariki toka kwa Spika wa Bunge hilo Bi. Margaret Banbtonbg Zziwa alipomtembelea Ikulu Jumatano Septemba 19, 2012.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment