Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Twiga Cement Jayne
Nyimbo,akiwahutubia washiriki wa semina ya mafunzo ya utengenezaji
wamatofari yenye ubora ambao ni wasambazaji wa saruji ya Twiga
,katikasemina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga Cement JayneNyimbo,
akimkabidhi cheti Mmoja wa akina mama walioshiriki wamafunzo ya
utengenezaji matofari yenye ubora wakati wa semina
iliyoandaliwa na Kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam. wengini kutokakushoto ni Meneja wa Matumizi ya
Saruji Eng.Danfrord Samwenda,MenejaUzibiti Ubora Richard Magoda na
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Ekwabi magigo
.Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga Cement JayneNyimbo,
akimkabidhi Praxeda Mrina cheti cha kuhitimu mafunzo yautengenezaji wa
matofari yenye ubora wakati wa semina iliyoandaliwa
na Kampuni hiyo jijini
Dar es Salaam. wengini kutoka kushoto ni Menejawa Matumizi ya Saruji
Eng.Danfrord Samwenda,Meneja Uzibiti Ubora Richard Magoda na Mkurugenzi wa
Masoko na Mauzo Ekwabi magigo.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Twiga Cement Jayne Nyimbo,akimkabidhi mmoja wa whitimu cheti cha kuhitimu mafunzo ya utengenezaji wamatofari yenye ubora wakati
wa semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyojijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Ekwabi magigo.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Twiga Cement Jayne Nyimbo,akimkabidhi
Mkurugenzi wa Kampuni ya ufyatuaji Matofari ya VGKLimited , Valence Msaki
cheti cha kuhitimu mafunzo ya utengenezaji wa
matofari yenye ubora wakati
wa semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyojijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Ekwabi magigo.
No comments:
Post a Comment