Miss. Mary akiwa katika pozi la mwaka.
Nurdin Bakari mchezaji wa Timu ya YANGA akiwa katika mavazi ya mtoko hapa ilikuwa katika harusi ya mchezaji mwenzake Shadrack Nsajigwa.
David Mwape aliyekuwa mchezaji wa Yanga akiwa katika vazi la mtoka.
Beki Nguri la Yanga Kanavoro akiwa na mwandishi wa habari za michezo wa Gazeti la Mseto Elius Kambili.
Juma Kaseja Kipa timu ya Simba akichati na mwandishi wa michezao na matangazaji wa Kipindi cha michozo wa TV Clouds Shaff Dauda.
Marafiki wawili hawa Charles wa Tanzania Daima na Albart wa Changamoto wakiwa katika mawindo ya habari.
No comments:
Post a Comment