Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kulia Ntuli Mwambingu akizungumzia Mkutano Mkuu wa chama cha waouguzi Tanzania utakao fanyika mjini Morogoro tarehe 26 -28 katika ukumbi wa Glonency 88.katikati ni Pfof.Pauline Peter,Katibu wa Tanna Miraji Piter.
Chama cha Wauguzi Tanzania TANNA,Nichama kinacho wakilisha wauguzi na wakunga waote Tanzania Chama kitafanya mkutano Mkuu wa wa mwaka na Kongamano la Kisayansi tarehe 26-28 mwezi huu,mjini Morogoro,Kauri mbiu ya mwaka huu ni Changamoto wanazopata wauuguzi katika kuhudumia wagonjwa wenye magonjwa yasiyoambukiza( NON COMMUNICACABLE DISEASES NCD)
Wapiga picha za habari toka kulia ni Mpiga picha Mkuu wa Gazeti la The Gurdian Seleman Mpochi , Jackson Odonyo wa Mwananchi, Mpiga picha Mkuu wa Tanzania Daima Joseph Senga , na kushoto ni mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Mtanzania Antony Siame wakijadiliana maswala ya utendaji wa kazi.hapa ilikuwa uwanja wa taifawakati mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom baina ya Yanga na JKT RUVU.
No comments:
Post a Comment