Rachel na Emi wakiwa katika pozi wakati wa Bithyday yao iliyofanyika katika ukumbi wa FM Kinondoni Dar es Salaam.
Picha ya Keki ilivyokuwa.
Emil na Rechal wakiwa wamebebwa na wazazi wao.
Baba Rachel akiwa amembeba mwane.
Picha ya pamoja ya wageni waalikwa waliofika katika sherehe hiyo.
Gelvas akiwa katika pozi na rafiki yake Naumu mwaka sita.
Walimbwende waliohudhulia sherehe hiyo.
Rechal akiwa ameshikwa na ndugu zake
Warembo waliohudhuria Bithday ya Emil na Rachel.
No comments:
Post a Comment