Wednesday, September 12, 2012

SIMBA YATWAA NGAO YA HISANI KWA KUIFUNGA AZAM 3-2.


 Kikosi cha Simba kilichotwaa ngao ya Hisani.
 Kikosi cha timu ya Azam.kilichochapwa mabao 3-2 na Simba.
 Mshambuliaji wa timu ya Azam Kiplicheche akimtoka beki wa timu ya Simba.
Kepteni wa timu ya Simba Juma Kaseja akikabidhiwa Ngao ya Hisani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya timu ya Azam katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa ikiwa ni kiashirio cha ufunguzi wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment