Wanahabari wakiwa katika maandamano ya kupinga mwanahabari mwangosi kuuawa na jeshi la Polis akiwa kazini hivi karibuni.
Pamoja na Mvua Kunyesha lakini wanahabari walikuwa ngangali tuuuuu kutetea haki yao.
Hamtaki tuseme lakini karamu ni zaidi ya bunduki ,
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi Mkoa wa Dar es Salaam, Jeny Mihanji akihutubia kat ika viwanja vya Jangwani wakati wa Kulaani mauaji hayo.
Wadau na wanaharakati wakiungana na waandishi wa habari katika maandamano hayo.
No comments:
Post a Comment