Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kushoto) akiongea
wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel
na Bank of Afrika katika kutoa huduma ya Airtel money kupitia matawi ya
bank hiyo yote yaliyopo Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika jana katika Makao
makuu ya Airtel Morocco Jijini Dar es Salaam. pichani kulia ni mkuu wa kitengo
cha IT Bank of Afrika bwn. Willington Munyanga , akifatiwa na Mkuu wa
huduma za kibenki Mwanahiba Mzee na anayefatia ni Meneja Airtel Money
John Ndunguru
Meneja
Airtel Money John Ndunguru na Mkuu wa huduma za kibenki Mwanahiba Mzee
wakipitia mkataba mara baada ya makubaliano ya ushirikiano wa Airtel na
Bank of Afrika katika kutoa huduma ya Airtel money kupitia matawi ya bank hiyo
yote yaliyopo Tanzania
No comments:
Post a Comment