Saturday, October 13, 2012
BANKI YA NBC YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA WADAU WAKE MJINI ARUSHA.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (kishoto) akiteta jambo na Afisa wa idara ya fedha wa benki ya Posta Devotha Mwantinda wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC hivi karibuni mjini Arusha, ikiwa ni sehemu ya kuwakutanisha wadau wa benki hiyo.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima Absalom Kibanda kushoto Katibu wa Jukwaa la Wahariri David Miena , Makamu wa Rais wa Vyana vya waandishi wa habari Nchini Jane Mihanji ,na Jamilah Omari wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru akiteta na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima Absalom Kibandawakati wa hafala hiyo iliyandaliwa na NBC.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment