Wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Kariakoo wakiwa wamenufaika na uzinduzi wa tawi jipya la eneo hilo kwa kupewa myamvuli mipya ambayo itawasaidia kujikinga na jua wakati wa kufanya biashara zao.
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akipewa maelekezo na Msaidizi wake Aristides Mbwasi wakati alipowasili katika hafla hiyo.
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda wapili kutoka kulia akiwa na
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki hiyo Abdallah Singanowa kwanza kulia ,Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Wakubwa wa Stanbic Lilian Mtaki Kitomari na
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanbic Douglas
Kamwendo wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Kariakoo Sokoni.
Mkurugenzi
wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanic Douglas Kamwendo akiteta jambo na Waziri wa Viwanda ,Biashara na Masoko Dkt Abdallah Kigoda wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam leo majira ya saa4 asubuhi Kushoto ni Mkuu wa Biashara za Kati na Kubwa wa Stanbic Robert Craiyson.
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akisoma hutuba yake wakati wa uzinduzi wa tawi
jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic
inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima .katikati ni Mkuu wa Kitengo cha
Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano(kushoto)Mkurugenzi wa Kitengo cha
Biashara wa benki ya Stanbic Douglas Kamwendo
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akizindua tawi
jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic
inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima .katikati ni Mkuu wa Kitengo cha
Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano(kushoto)Mkurugenzi wa Kitengo cha
Biashara wa benki ya Stanbic Douglas Kamwendo
. Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akikalibishwa
na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara Douglas Kamwendo wakati wa hafala fupi ya uzinduzi wa tawi
jipya la Benki ya Stanbic Kariakoo ambalo linakuwa la pili katika eneo hilo la Kariakoo sokoni jijini Dar es Salaam, mpaka sasa Stanbic
inajumla ya matawi kumi na moja kwa nchi nzima.Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha
Masoko wa benki hiyo Abdallah Singano
wafanyakazi wakiwa katika pozi
Waziri wa Viwanda ,Biahara na Masoko Dkt. Abdallah Kigoda akiagana na Mkurugenzi
wa Kitengo cha Biashara wa benki ya Stanic Douglas Kamwendo baada ya hafla fupi
ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo Kariakoo Sokoni.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Stanbic Tawali la Kariakoo
sokoni wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika hafala ya uzinduzi wa
tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment