Monday, October 29, 2012

NAOMI MWAKIFULEFULE ALIVYOSHEREHEKEA SHAHADA YA KWANZA YA UALIMU UTAWALA KATIKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA OUT.

Naomi Mwakifulefule alivyosherehekea  pamoja na Ndugu jamaa na marafiki wa karibu katika hafla ya Shahada ya Ualimu na Utawala  aliyohitimu hivi Karibuni Katika Chuo Kikuu Huria Cha Dar es Salaa, na kufuatiwa na Tafrija fupi iliyofanyika nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment