Hayawi hayawi yamekuwa Bwaba Harusi Jofrey Joseph akimvisha Pete ya ndoa Mkewake Ancilia Xaviel wakati wa Ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Parokia ya Kiluvya jijini Dar es Hivi karibuni
Bibi Harusi Ancilia Xaviel akimvisha pete ya ndoa mmewake wakati wa Ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Kiluvya jijini Dar es Hivi karibuni na kufuatiwa na Sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Gillys Resote Kiluvya.
Bwana Harusi Jofrey Joseph akiwa katika pozi.
Bibi Harus Ancilia Xaviel wakati wa Ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Parokia ya Kiluvya jijini Dar es Hivi karibuni.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na Wapambe wake nje ya Kanisa Katoliki la Kiluvya jijini Dar es Salaam.na Kufuatiwa Sherehe kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gillys Resote Kiluvya.
Maharusi wakiwa na wapambe wao
Bi ,Ancilia Xaviel wakati wa Ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Parokia ya Kiluvya jijini Dar es Hivi karibuni akiwa na mpambe wake.Sherehe ilifanyika katika Ukumbi wa Gillys Resote Kiluvya.
Bwaha Haruai Jofrey Joseph akiwa katika pozi na Mkewake Ancilia Xaviel wakati wa Ndoa.
Bwana harusi Jofrey na Ancilia wakikata keki ya ndoa wakati wa sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Gillys Resote Kiluvya jijini Dar es Salaam, Baada ya kufunga Ndoa iliyofanyika katika Parokia ya Kiluvya.
No comments:
Post a Comment