Pwaniraha2 News blog

Thursday, October 18, 2012

HAPPY BIRTHDAY YA EMMANUEL MASELE ALIPOTIMIZA MIAKA 8 YA KUZALIWA ILIVYOADHIMISHWA KATIKA SHULE YA SUNRISE PRIMARY SCHOOL AND NURSERY SCHOOL JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise  Primary Schooland Nursery  schoo, Neema Daniel akiwa amewakumbatia wanafunzi wakewakati wa kusherehekea birthday ya Emmanuel Masele katikat wakatialipotimiza miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia ni rafiki yake  Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahamed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam. 
Emmanuel Masele akizima mshumaa wakati wa hafla ya kuazaimishamiaka 8 ya kuzaliwa  iliyofanyika shuleni kwao  Sunrise  PrimarySchool and Nursery  school jijini Dar es Salaam.kulia ni AbubakarMuhidin na Ahamed Ally.
.Emmanuel Masela akiwapa zawadi wanafunzi wa darasa  lake wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 8 ya kuzaliwa iliyofanyika katika shule ya Sunrise  Primary School
Posted by Albart at 8:12 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

My photo
Albart
View my complete profile

Followers

Blog Archive

Powered by Blogger.