Askali wa jeshi la polisi wakimkagua mmoja wa raia wa nje wakati alipotaka kupita eneo la posta pya kuelekea wizara ya mabo ya ndani.
Askari wa jeshi la polisi wakiwa katika doria katika barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wafuasi wa dini ya Kiislamu akiwa amekamatwa wakati alipokuwa akitokea katika msikiti wa Idirisa Kariakoo, ambapo waislamu walikuwa wakifanya fuja na kukaidi amri ya jeshi la polisi.
Mgambo wakitoa kipigo kwa mmoja wa wafuasi wa dini ya Kiislamu.
Askari Kanzu akimtwisha buti mmoja wa wafuasi wa dini ya Kiislamu ambao walikataa kutii amri ya jesh hapa ilikuwa katika maeneo ya Msikiti wa Idirisa Kariakoo.
Kijana akimwongoza baba yake ambaye ni mremavu wa macho kuvuka katika barabara ya Azikiwe posta Mpya leo majira ya saa 7 alasili barabara ilikuwa tupu kutokana na askari kuamuru kufungwa kwa njia hiyo kuhofia vurugu za waislamu.
No comments:
Post a Comment