Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais
Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne
nchini Oman Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamanda wa
Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova leo katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika
ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
No comments:
Post a Comment