Tuesday, October 9, 2012

KIKUNDI CHA HAYA HAYA CHAWA KIVUTIO KWA WATALII WANAOTEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO.

  1. Msanii wa Kikundi cha Ngoma za Asili cha Hayahaya Youth Group cha jijini Dar es Salaam, Said Mbonde akionyesha umahili wake wa kupiga ngoma huku akiwa amelala wakatimalipokuwa akiwaburudisha watali waliotembelea katika Kijiji cha Makumbusho ya Taifa eneo la Makumbusho jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Wasanii wa Kikundi cha ngoma za asili cha Hayahaya Sadiki Hamadi na Philip Fredrick wakiopiga madebe ikiwa ni ngoma za asili wakati walipokuwa wakitumbuiza walipokuwa wakiwakaribisha watalii waliofika katika kijiji cha Makumbusho kujionea mambo ya kale .

No comments:

Post a Comment