Monday, October 29, 2012
MAONESHO YA WAJASIRIAMALI YAFUNGWA
Waziri wa Nchi Ofsi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr.
Terezya Huvisa
(kulia)mratibu wa vikocoba Tanzania Bw;Aldo Mfinde wakiwa wamesimama kwa ajili yakupokea maandamano ya wajasiliamali vicoba kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam
Waziri wa Nchi Ofsi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr.Terezya Huvisa (katikati)akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam wakati wa kufunga maonesho ya wajasiriamali ya kutimiza miaka kumi ya vicoba wa asasi ya UYACODE (kulia)mratibu wa vikocoba Tanzania Bw;Aldo Mfinde(kushoto)mwna kamati wa habari vicoba Bi;Magreth Mapunda.
Baadhi ya wanawaake wajasiliamali wakiwa katika maandamano wakati wa maadhimisho hayo.
kikundi cha ngoma cha Hisia Group kutoka Temeke jijini Dar es salaam kikitoa burudani wakati wa maonesho ya wajasirimali yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment