Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni za
CCM za udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga, jana Oktoba
27.(Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akiwa katika mapokezi ya wananchi alipowasili kwenye mkutano wa
kufunga kampeni za CCM za udiwani kata ya Bugarama, Kahama mkoani
Shinyanga.
No comments:
Post a Comment