Tuesday, October 2, 2012

MECHI ZA WATANI WA JADI NJE YA LIGI KUU KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI:


JULAI 10, 2011
Yanga 1-0 Simbam, Fainali
MFUNGAJI : Kenneth Asamoah dk 108

JANUARI 1975
Yanga Vs Simba; Fainali, 2-0
WAFUNGAJI: Gibson Sembuli na Sunday Manara

JANUARI 1992
Simba Vs Yanga; Fainali
1-1, Simba ilishinda kwa penalti 5-4

JULAI 27, 2008
Simba Vs Yanga; Mshindi wa Tatu
(Yanga haikutokea uwanjani, Simba ikapewa ushindi wa chee)

KOMBE LA HEDEX:
JUNI 30, 1996
Yanga Vs Simba 2-0
CCM Kirumba, Mwanza
WAFUNGAJI: Bakari Malima na Edibily Lunyamila

KOMBE LA HEDEX:
JULAI 13, 1996
Simba Vs Yanga 1-1, Taifa, Dsm
WAFUNGAJI:
SIMBA: Hussein Amaan Marsha kwa penalti
YANGA: Bakari Juma Malima

KOMBE LA TUSKER:
FEBRUARI 10, 2001
Yanga Vs Simba (fainali) 0-0
(Simba ilishinda kwa penalti 5-4, Uwanja wa Taifa)

MACHI 31, 2002.
Simba Vs Yanga 4-1

WAFUNGAJI:
SIMBA: Mark Sirengo dk. 3 na 76, Madaraka Selemani dk. 32 na Emanuel Gabriel dk. 83.
YANGA: Sekilojo Chambua dk 16.
(Mechi hii ya fainali iliyohudhuriwa na rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, chupuchupu ivunjike dakika ya 32, baada ya Madaraka kufunga bao ambalo kabla ya kufumua shuti lililomshinda kipa Manyika Peter, aliushika mpira kwa makusudi, ili kuuweka sawa. 
Rais wa Yanga wakati huo, Tarimba Abbas aliinuka na kuwaonyesha ishara wachezaji wake watoke uwanjani na hapo ndipo meza kuu aliyokuwa ameketi mzee Mwinyi, ilipoanza kushambuliwa kwa chupa za maji na mashabiki wa Yanga. Mwamuzi wa mchezo huo, Abdulkadir Omar alisubiri hadi vurugu zilipotulizwa na FFU ndipo akaendeleza mchezo. Tarimba alitoka nje na hakutaka kuendelea kushuhudia mchezo huo. Baada ya hapo, alifungiwa na Chama cha Soka Tanzania, FAT).

JULAI 2, 2005
CCM Kirumba, Mwanza. Fainali
Simba Vs Yanga, 2-0
WAFUNGAJI: Emmanuel Gabriel dk. 60, Mussa Hassan Mgosi dk. 72

AGOSTI 15, 2006
Simba Vs Yanga; Nusu Fainali, 1-1
WAFUNGAJI:
SIMBA: Emanuel Gabriel dk. 69
YANGA: Credo Mwaipopo 90
(Simba ilishinda kwa mikwaju ya penalti 7-6)

DESEMBA 25, 2009
Yanga Vs Simba; Nusu Fainali, 2-1
WAFUNGAJI:
YANGA: Jerry Tegete dk 67, Shamte Ally dk 120
SIMBA: Hillary Echesa dk 78 (penalti)
(Uwanja wa mpya wa Taifa)

KOMBE LA MAPINDUZI:
JANUARI 12, 2011
Simba Vs Yanga; Fainali 2-0
WAFUNGAJI: Mussa Mgosi dk 33, Shijja Mkinna dk 71
(Uwanja wa Amaan, Zanzibar)

KOMBE LA AICC:
JUNI 1989
Yanga Vs Simba SC 1-0
MFUNGAJI: Joseph Machella

APRILI 20, 2003,
CCM Kirumba, Mwanza
Yanga Vs Simba 3-0
WAFUNGAJI:
Kudra Omary dk. 30, Heri Morris dk 32 na Salum Athumani dk. 47

JANUARI 19, 2003, Kombe la CCM
Simba Vs Yanga 1-1, Dsm
WAFUNGAJI:
SIMBA: Jumanne Tondolo dk. 10
YANGA: Mwinyi Rajabu dk. 20

NGAO YA JAMII:
FEBRUARI 17, 2001
Yangs Vs Simba 2-1, Dsm
WAFUNGAJI:
YANGA: Edibilly Lunyamila dk. 47, AllyYussuf 'Tigana' dk 80.
SIMBA: Steven Mapunda 'Garrincha' dk.43

AGOSTI 18, 2010
Yanga vs Simba 0-0
(Yanga ilishinda kwa penalti 3-1)

WAFUNGAJI: Geoffrey Bonny, Stefano Mwasyika na Isaac Boakye kwa upande wa Yanga na Mohamed Banka kwa Simba.
WALIOKOSA: Ernest Boakye kwa Yanga na Emanuel Okwi, Uhuru Suleiman na Juma Nyosso kwa Simba.


AGOSTI 17, 2011
Simba vs Yanga 2-0, Dar
WAFUNGAJI:
Haruna Moshi ‘Boban’ dk 15 na Felix Sunzu dk 38.

NOVEMBA 15, 2000
KOMBE LA FAT
Yanga Vs Simba 2-1
Sheikh Amri Abeid, Arusha.
WAFUNGAJI:
YANGA: Aziz Hunter 40 na Vincent Tendwa
SIMBA: Ally Yussuf 'Tigana' dk.37

NOVEMBA 12,  2000
MARUDIANO KOMBE LA FAT
Simba Vs Yanga 1-0, Dsm
MFUNGAJI:
 
SIMBA: Ben Luoga  dk.44      
(Matokeo ya jumla yakawa 2-2 na Yanga ikatolewa kwa mikwaju ya penalti 5-4).

 *kwa hisani ya blogs ya zuber*


No comments:

Post a Comment