PAROKO WA PAROKIA YA MT.PETRO PD JOSEPH MOSHA ALIVYOONGOZA IBADA YA EKARISTI TAKATIFU KATIKA KANISA LA MT.PETRO OYSTERBAY JUMLA YA WATOTO 79 WALIPOKEA SAKARAMENTI HIYO.
watoto waliopata Sakaramenti ya Ekaristi Takatifu wakiwa katika picha ya Pamoja na Mapadri wa Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay, baada ya kumalizikia Ibada hiyo.
No comments:
Post a Comment