Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na
wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo
aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika ukumbi wa
Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT).
No comments:
Post a Comment