Saturday, October 27, 2012

SHEREHE YA MAHAFARI YA KUMALIZA KIDATO CHA NNE YA CLAUDIA MAPALALA

 Huu ni muonekano wa keki iliyoliwa wakati wa kusherehekea mahafari hayo.
 
.Mama Mzazi wa Claudia Mapalala akiwa katika picha ya pamoja na mama yake Sarah akimpongeza wakati wa Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya sekondari ya St. Joseph Millenium Goba jijini Dar es Salaam.
 
 Claudia Mapalala mwenye Joho akiwa na Wazazi wake kutoka kulia ni baba yake Celestine  na Mama Yake Sarah  wa tatu na Dada Yake Emmy Kimwaga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusherehekea Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya St,.Joseph Millenium ya Goba jijini Dar es Salaam.
 Mama Mzazi wa Claudia   akimlisha keki mwanae wakati wa hafla ya Kumaliza Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya ST.Joseph jijini Dar es Salaam.
  Baba Mzazi akimlisha mwanae keki wakati wa hafla ya kumaliza kidato cha Nne katika sekondari ya ST.JOSEPH jijini Dar es Salaam.
 
  Baba Mzazi akiwa wa Claudia  akiwa katika pozi na mwanae wakati wa hafla ya mahafali ya kidato cha Nne.st.Joseph Millenium jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment