TUTASOMA KWA BIDII HADI USIKI SASA: Mwanafunzi wa darasa la sita katika
shule ya msingi Zinga Bagamoyo ,Rehema Husein akijisomea nyumbani kwao kwa kutumia
taa inayotumia umeme wa jua baada ya kukabidhiwa msaada wa taa hizo na kampuni
ya Waka Waka ikiwa ni mkatakati maarumu wa kuwasaidia wanafunzi wanaoisha katika maeneo yasiyo na umeme ili
waweze kujiendeleza kimasoma zaiodi hasa wanapokuwa nyumbani wakati wa usiku.
No comments:
Post a Comment