Monday, October 1, 2012

WADAU HAPA.

MRS AND MISS IBRA Kaude wakiwa katika pozi la picha ya pamoja mika miwili iliyopita kabla ya kufunga ndoa yao hivi sasa ni mke na mme sasa.
Kutoka kushoto ni Mpiga picha wa Kituo cha TBC1 George  Kasembe ,Mkaka  Mpiga picha wa kujitegemea, Stanly Ganzel TBC1 na Albart Jackson Mpiga picha wa Gazeti la Changamoto wakiwa katika picha ya pomoja wakati walipokutana katika mizunguko ya kazi katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment