BURUDANI.
Kundi la mjomba bendi likiwa kazini.
Msanii wa Kundi la Mjomba bend Suzan Matine akionyesha umahili wake wakucheza.
Msanii Mrisho Mpoto akiangalia machapisha mbalimbali wakati alipojumuika na watanzania wengine wakati wa maadhimisho ya siku ya kujua Duniani,
Wasanii wa Ngoma za asili wa Kundi la Mjomba band wakionyesha umahili wao.
Baadhi ya akimama waliohudhulia Maadhisho ya siku ya Haki ya Kujua Duniani wakijisomea katiba ambayo waligawiwa .
Janet Albart akiwa ameshikwa na baba yake mkubwa Kat. Yohane Maboko.
No comments:
Post a Comment