George Mchaki akiingia Kanisani na Mkewe Joan Deo kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Joah Deo akimvisha pete ya ndoa mmewake George Mchaki wakati wa Ibada ya
ndoa iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay na
kufuatiwa sherehe kubwa iliyofanyika ukumbi wa Sun City M bezi jijini
Dar es Salaam.
Joan akiwa kanisani.
Joah Deo akimvisha pete ya ndoa mmewake George Mchaki wakati wa Ibada ya ndoa iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay na kufuatiwa sherehe kubwa iliyofanyika ukumbi wa Sun City M bezi jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment