Bwana harusi akiwa katika pozi ndani ya Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay.
Bwana Harusi Cracious Mtunge na Mkewake Cecilia Demba wakiwa wenye furaha bada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay na kufuatiwa na Sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Delux Sinza jijini Dar es Salaam.
WAMEPENDEZA SANA JAMANI
ReplyDeletemmejitahidi hongereni
ReplyDelete