Kocha wa timu ya African Lyon Pablo Velez akitoa maelekeza wakati wa mazoezi ya timu yake kabla ya kuanza kwa mchezo wao na timu ya Yanga Afriacan. ambapo yanga ilishinda bao 3-1.
Kikosi cha timu ya African Lyon kilichosasambuliwa na Yanga 3-1.
Mshambuliaji hatari raia wa Burunda anayekipiga katika timu ya Yanga Dider Kavumbanga akimiliki mpira wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baina yao na African Lyon.
No comments:
Post a Comment