Friday, November 9, 2012

KUTANO WA UTAFITI KUHUSU JINSIA NA MIFANO BORA KATIKA MASUALA YA UUNDWAJI WA KATIBA 2012 FANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mhe:Sivangilwa Mwangesi (kulia) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa mkutano wa utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012 tafiti kutoka nchi za Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya kusini mkutano huo wa siku mbili unaofanyika kwenye ukumbi wa karimjee jijini Dar es saalaam ulioshirikisha makamishna wa tume ya katiba,na wajumbe kutoka nje ya nchi ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TWLA) kushoto mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC) Bi:Magdalena Rwebaugira.
Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mhe:Sivangilwa Mwanges (kushoto)akikata utepe kuzindua kitabu cha  utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012 tafiti kutoka nchi za Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya kusini.mara baada ya kufungua mkutano huo wa siku mbili (kulia)mwenyekiti wa jukwaa la jinsia Bi:Magdalena Rwebaugira
Baadhi ya wanachama wa jukwaa la jinsia na katiba wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012
Baadhi ya wanasheria wakimsikiliza kwa umakini mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC) (watatu kulia) Bi:Magdalena Rwebaugira mara baada ya kuharishwa kwa mkutano huo.wa utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya 2012
mjumbe wa tume ya kuregebisha sheria Bi:Maria Kashoda akichangia mada kwenye mkutano huo 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba alisema: akichangia mada kwenye mkutano huo

No comments:

Post a Comment