Thursday, November 15, 2012

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAKUTANA NA VIONGOZI WA MATAWI YA CCM UGHAIBUNI (DIASPORA) MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, India, Uingereza Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota.Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment