Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mhadhara wa 13 wa Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro. Picha na OMR
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akitoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA, Alnoor Kassim, baada ya Makamu kutoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo Novemba 16 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya
Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro, leo Novemba 16, 2012. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment