HoteliyakitaliiIkondolelo
Lodge iliyokoKibambaJijini Dar essalaam ,ImeteuliwanaBodiyamashindanoya Miss
Utalii Tanzania kuwa Hotel RasmiyamashindanohayoMwakahuu 2012.
Mchakatowauteuziulihusisha
Hotel zaidiyasabazilizojitokezakudhaminifainalizataifaza Miss Utalii Tanzania
2012.
KwaIkondolelokuwa hotel
Rasmi Miss utalii Tanzania itatumiazaidiyaShilingizakitanzaniaMilionimiamoja,ikiwaniudhaminiwagharamazakambiyaWarembonawaandaajizaidiyasitini(60)kwamudawa
wiki tatu.
Bodikatikakuteua hotel
rasmiyamashindanomwakahuuimezingatiaVigezovifuatavyo: Usalamawawatunamalizao,
uborawaviwangovyahudumaambayosiyochiniyahadhiyanyota (3) ,mazingira a hotel
nautulivuwaeneohusikakulingananaviwangovyakitaifanaKimataifavyamashindanoya
Miss Utalii,piakwakuzingatiaviwangovilivyowekwanaserikalikupitiaBaraza la sanaa
la Taifa (BASATA).
Warembokutokamikoayoteya
Tanzania naVyuovikuu ,wakiwakambinikatika Hotel
yaIkondolelowatafanyashughulimbalimbalizamaandalizinazakijamii; zikiwemo ,
Kujifunzakuogeleakatikabwawalililopohotelinihapo, Upigajiwapigazaminatokatikabustanizinazozungukahoteli,
watapewamafunzomaalumyakutumiamaeneonavifaambalimbalivya hotel zakitalii.
Aidhawashirikiwafainalizataifaza Miss utalii 2012
watapewamafunzokuhusiananautalii, utamaduni, uwekezaji,
mazingira,afyayajamii,elimuyajamiiuzalendo,watafundishwambinuzakujieleza, kujiamininakufanyamatangazo.
MkurugenzimtendajiwaIkondolelo
Lodge NduguFredySelekwaameishukuruBodiya Miss utalii Tanzania
kwakuwapafulsayakuwa hotel
RasmiyaMashindanohayamuhimukwataifakatikakukuzasectayautaliinauchumikwaujumla.
Ameihakikishiawashirikinaviongoziwatakaokuwakambinikuwapatiahudumazotemuhimukwakiwango
cha kimataifa
Imetolewana
Hamisi
.A.Mkongowale
No comments:
Post a Comment