Familia ya Crymont Msowela ilivyo mpongeza Mtoto wao mpenzi Etinesi aliye hitumu Shahada ya Uzamili Sayansi (Usimamizi wa Rasilimali watu) Katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam hivi karibuni wakati wa Mhafali ya 11 ya Chuo hicho ambapo Jumla ya wahitimu 191wa lihitimu kozi hiyo.Tafrija ya Kumpongeza ilifanyika Kurasini Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment