Bwana Charles Kalogwa na Mkewe Rehema Shilliye wakikata keki wakati wa harusi yao iliyofungwa katika kanisa la Angilikana Msasani na Kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika ukumbi wa Free Hall Uliopo katika Chuo Cha Maji jijini Dar es Salaam.
Bi Rehema akimlisha keki Mmewake
Wakipeleka keki kwa wazazi wao
Mama mzai wa Charles Kalogwa akifurahia
Binti wa Maharusi akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa.
bwana harusi akiwa na watoto wake .
Bwana Charles na bibi harusi wakiwa katika picha ya pamoja
Niwakati wa kupata msosi
Ndugu jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika pozi.
No comments:
Post a Comment