Mshambuliaji wa timU JNIA ya wafanyakazi wa Mamkalaka ya usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Tanzania Juma Hamis akifunga goli kwa njia ya Tiktaka, timu hiyo iliwafunga 2-0 Timu ya Makao Makuu ya TCAA.Wakati wa familly day iliyofanyika jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa TCAA, wakicheza mpira wa mikono (Volyball) wakati wa familly day iliyofanyika jijini Dar es Salaam,
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usfiri wa Anga Tanzania (TCAA) Wakishindana kuvuta kamba wakati wa sherehe za familly day iliyofanyika jijini dar es salaam.
watoto wa wafanyakazi wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCCA, walioshiriki katika Famillya Day wakishindana kukimbia na magunia ,
Wasanii wa kikundi cha Kuchikuchi cha Mtongani jijini Dar es Salaam,Koni Diwani, katikati,Kesssy Sudi kulia na Papa Mkuru wakionyesha umahili wao wakucheza ngoma za asili wakati wa Familly Day ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, iliyofanyijika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania wakiwa katika hafla hiyo ya Familly day.
Mapozi hapo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania Charles Chacha akimkabidhi mmoja wa watoto aliyeshinda mbio za kukimbia na gunia wakati wa shereha za family day ya mamlaka hiyo jijini dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania,(TCAA) Charles Chacha. akimkabidhi nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya TCAA.baada ya kuishinda timu ya makao makuu.
No comments:
Post a Comment