Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Mkoa wa Singida.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi
mbali mbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akiwaelezea masuala
muhimu ya maendeleo nchini.Rais Kikwete amewasili Mjini Singida Januari 5
kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili.Picha na IKULu.
No comments:
Post a Comment